Nimejiunga siku ambayo JF imefungiwa

Nimejiunga siku ambayo JF imefungiwa

Melo, njoo inbox huyu anatuchora(mwandiko na sura sio ngeni) namjua naye jana alikuwepo kwenye lile kundi na leo ndio kabonyeza batani ya OFF
 
Watu bila wasikitike ndo kwanza vituko vinaongezeka ndo kusema TCRA bado hawajatukomoa
 
Back
Top Bottom