toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Jihadharini na vodacom
Leo usijiroge ukajiunga wanafyeka chote wizi mtupu
Nimejiunga lisaa moja lililopita
Hongera! Umepata dk 100 kupiga simu mitandao yote, MB1024 za kufurahia inatentiSMS 100 kwa saa24.Piga *149*60# kujua salio.
Nikasema nishajiunga nikaingia fb kidogo tu nikaona wacha nizime data nifanye mambo mengine, nikazima data simu nikaichomeka kwenye chaji kuichaji baada ya lisaa nimerudi tu nawasha data nakutana na hii msg
Ndugu mteja, MB za Kifurushi cha Cheka Tsh.1000 zimekwisha. Kununua kifurushi kingine tafadhali piga *149*01. Ahsante kwa kuchagua Vodacom!
Nimebaki nimeduwaaa maana hata sijaingia zaidi ya fb kwa dakika chache tu na sijawatch video yoyote, wala sijadownload chochote wala sikua na app zinazojiapdate wala chochote sijatumia cha ajabu wamefyeka zote, nilikua sidhani kama hawa wanaiba nilidhani ni stor huu ni wizi tena wizi mbaya!
Nampigia customer care wao analeta majibu mepesi mara tutashughulikia ndani ya masaa 24 utakua umepata majibu.
Natamani niwaburuze mahakamani!