Nimejiunga kifurushi voda, hakijakaa hata lisaa washakata chote, nataka niwaburuze mahakamani kwa wizi

Hili tatizo leo lilikuepo..the same kesi imenikuta...lakini kesho naamini watarudisha bando za watu...lakini pia ilitokana na mabadiliko ya vifurushi...Sasa ivi kwa 1000 unapata dk100 ..SMS ...500 na MB 10......kwa siku tatu..

Hope Vodacom wataturudishia MB zetu mkuu
 
Jihadharini na vodacom

Leo usijiroge ukajiunga wanafyeka chote wizi mtupu

Nimejiunga lisaa moja lililopita

Hongera! Umepata dk 100 kupiga simu mitandao yote, MB1024 za kufurahia inatentiSMS 100 kwa saa24.Piga *149*60# kujua salio.

Nikasema nishajiunga nikaingia fb kidogo tu nikaona wacha nizime data nifanye mambo mengine, nikazima data simu nikaichomeka kwenye chaji kuichaji baada ya lisaa nimerudi tu nawasha data nakutana na hii msg

Ndugu mteja, MB za Kifurushi cha Cheka Tsh.1000 zimekwisha. Kununua kifurushi kingine tafadhali piga *149*01. Ahsante kwa kuchagua Vodacom!

Nimebaki nimeduwaaa maana hata sijaingia zaidi ya fb kwa dakika chache tu na sijawatch video yoyote, wala sijadownload chochote wala sikua na app zinazojiapdate wala chochote sijatumia cha ajabu wamefyeka zote, nilikua sidhani kama hawa wanaiba nilidhani ni stor huu ni wizi tena wizi mbaya!

Nampigia customer care wao analeta majibu mepesi mara tutashughulikia ndani ya masaa 24 utakua umepata majibu.

Natamani niwaburuze mahakamani!
Ukitaka mchango wangu kwenye kesi yako usisite kunistua tuyapige pesa mibeberu hii
 
Kuna mtu alinambia kuwa; hizi line za sim ambazo siku izi unasajiriwa bure na unawekewa Vocha bure Kuna kiasi wanakuja kupata badae wakat wew utakapoanza kuitumia hiyo line rasmi wakat wa kuweka Vocha

Hii inaratibiwa vizur tu na makampun ya sim
 
Wakati mwingine, ni kifurushi cha zamani ndio kinaisha. Na wewe ulishanunua kifurushi kipya. Ndio meseji ya hivyo inakuja. Lakini MB zako mpya bado ziko palepale. Bofya *150*60# kuangalia salio la ukweli la bando.
Point of correction ni *149*60# na sio *150*60#
 
Jihadharini na vodacom

Leo usijiroge ukajiunga wanafyeka chote wizi mtupu

Nimejiunga lisaa moja lililopita

Hongera! Umepata dk 100 kupiga simu mitandao yote, MB1024 za kufurahia inatentiSMS 100 kwa saa24.Piga *149*60# kujua salio.

Nikasema nishajiunga nikaingia fb kidogo tu nikaona wacha nizime data nifanye mambo mengine, nikazima data simu nikaichomeka kwenye chaji kuichaji baada ya lisaa nimerudi tu nawasha data nakutana na hii msg

Ndugu mteja, MB za Kifurushi cha Cheka Tsh.1000 zimekwisha. Kununua kifurushi kingine tafadhali piga *149*01. Ahsante kwa kuchagua Vodacom!

Nimebaki nimeduwaaa maana hata sijaingia zaidi ya fb kwa dakika chache tu na sijawatch video yoyote, wala sijadownload chochote wala sikua na app zinazojiapdate wala chochote sijatumia cha ajabu wamefyeka zote, nilikua sidhani kama hawa wanaiba nilidhani ni stor huu ni wizi tena wizi mbaya!

Nampigia customer care wao analeta majibu mepesi mara tutashughulikia ndani ya masaa 24 utakua umepata majibu.

Natamani niwaburuze mahakamani!
Ungekuwa na uwezo wa kuwapeleka Vodacom Tanzania mahakamani usingekuwa na muda wa kulalamikia kifurushi cha buku moja, Unatupigia makelele tu.Period
 
Back
Top Bottom