Nimejisikia tu

We uliyajuaje haya!!
Dogo mimi ni pornstar kule majuu..nilishayapiga paipu saana manjemba yenye body kama haya.

Ningekupa stori moja ya mchele unaonukia wa mbeya na njemba yenye tank kama haya nilipokuwa majuu..ila unaoneoana bado mtoto wa mama.

Najua Viewer description is advised.
 
Vijana badala watafute pesa wao wanashinda wanabeba mavyuma sisi wazee tuna wachora tu!


-Nyerere-
Hizo pesa zenu ndio wanakula na hao wanyanyua vyuma.
Kwahiyo zisake sana maana inabidi utoe pesa za kutosha ili akahudumie na yeye.
 
Hizo pesa zenu ndio wanakula na hao wanyanyua vyuma.
Kwahiyo zisake sana maana inabidi utoe pesa za kutosha ili akahudumie na yeye.
Na sisi hiyo michezo yenu tunaijua ndomana tunatafuta wanaojielewa tunawazalisha wanaturia!

-Nyerere-
 
Don't judge a book by its cover. Ni mawazo yangu tu
 
Vijana tafuteni pesa utakula vyuma wewe, pesa ndo mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…