J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,082 Feb 27, 2022 #41 Watu8 said: Hahah...ndio swali inayofuata hiyo Anyway tufanye ni ile ya kwanza π Click to expand... Hiyo ya kwanza ππ Hata mie nilikumiss mtu nane Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka π Kwema lakini?
Watu8 said: Hahah...ndio swali inayofuata hiyo Anyway tufanye ni ile ya kwanza π Click to expand... Hiyo ya kwanza ππ Hata mie nilikumiss mtu nane Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka π Kwema lakini?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,180 Reaction score 124,849 Feb 27, 2022 #42 Facebook ni very addictive...niliacha miaka kadhaa iliyopita hata mimi sikuamini kama nimefanikiwa kuacha
Facebook ni very addictive...niliacha miaka kadhaa iliyopita hata mimi sikuamini kama nimefanikiwa kuacha
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,429 Feb 27, 2022 #43 FB ni kwa ajili ya kuwasiliana na watu wangu wa mbolea Nalog off
THE SHADOW ONE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,226 Reaction score 2,028 Feb 27, 2022 #44 Mr Gratitude said: yes few times nilipost simu nikapata mteja Click to expand... Hongera mkuu π€
THE SHADOW ONE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,226 Reaction score 2,028 Feb 27, 2022 #45 Joanah said: Hongera kwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa Click to expand... π€
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,814 Reaction score 110,067 Feb 28, 2022 #46 Joanah said: Hiyo ya kwanza ππ Hata mie nilikumiss mtu nane Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka π Kwema lakini? Click to expand... ππ Kwema sana Jo, shaka ondoa...basi next time ukinimiss ile ya kwanza π PM ndio mahali huwa najibanza huko nikisubiri presence ya Jo
Joanah said: Hiyo ya kwanza ππ Hata mie nilikumiss mtu nane Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka π Kwema lakini? Click to expand... ππ Kwema sana Jo, shaka ondoa...basi next time ukinimiss ile ya kwanza π PM ndio mahali huwa najibanza huko nikisubiri presence ya Jo