Nimejiondoa rasmi CHADEMA

ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Naona umefuata buku saba.... pole sana ukifika waambie wakuongeze nyingine tena.... Wenzako wametulia kimyaaa wanafanya kitubio.
 
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Wewe ukijiondoa wengine maradufu wanaojitambuwa wanajiunga.

ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Wewe ukikiponda kwa unavyokitathimini, wangine wanakitambuwa kwa ubora na msimamo wake.

We inaonesha ulikuwa msaliti, umeona ujiondoe mapema kabla hayajakupata. Mpuuzi we akili ndogo Msalani
 
Cdm tumeichoka ila chadema hawajajipanga...bora niendelee na cdm
 
Umeichoka wewe nani? hapa chini mbona wajiunga kwa kasi...

ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Tukutane 2015, CHADEMA MPANGO WA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…