Nilikuwa nawasikia mashoga zangu wakisimulia habari za humu jf, na mie nimejikuta tu nikitamani kujiunga hasa baada ya kusoma hoja mbalimbali ambazo kwa kweli zimenielimisha kukua kifikra............. pamoja daima
Cantalisa, mwenzangu hili neno lako, limenichekesha kweli, eti,"Dagaa hata achemshwe vipi hafumbi macho" Kumbe weye wawapika na vichwa vyao!? mie mwenzenu huwa navikata,,,,,,,,,,,,,,