EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
Unalala juu ya godoro mbili[emoji1787][emoji1787]
Huyo godoro
Huyo godoro
Ntaulizia mkuu kama sio mbali ntakuja maana nina siku2 za kukaa hukuPitia hapa nyakanazi nikununulie bia mbili uende kwenu 😀
Baada ya kupiga kazi ya kusaka mkate nikaenda 900 (usishangae ni bar inaitwa 900 itapendeza kama msemo wa Dr. Shika) ndo bar kubwa hapa Kibondo nikapiga bia kadhaa sasa naamka nakuta kuna bonge la dada kando ya kitanda anakoroma balaa kama jenereta hata sijui amekujaje.
Thank God nimeamka na nguo zangu mwilini na mkanda kiunoni na yeye yupo full suited.
Gambe sio poa kabisa aisee
Usichangie chochote.!!![emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]View attachment 1129574View attachment 1129575