Nimejikuta kando ya Bonge la Tipwa tipwa

Nimejikuta kando ya Bonge la Tipwa tipwa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Baada ya kupiga kazi ya kusaka mkate nikaenda 900 (usishangae ni bar inaitwa 900 itapendeza kama msemo wa Dr. Shika) ndo bar kubwa hapa Kibondo nikapiga bia kadhaa sasa naamka nakuta kuna bonge la dada kando ya kitanda anakoroma balaa kama jenereta hata sijui amekujaje.

Thank God nimeamka na nguo zangu mwilini na mkanda kiunoni na yeye yupo full suited.

Gambe sio poa kabisa aisee

Usichangie chochote.!!![emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
FB_IMG_1560256881001.jpeg
FB_IMG_1560672183725.jpeg
 

Attachments

  • 2019-06-17%2005.31.29.jpeg
    2019-06-17%2005.31.29.jpeg
    27.2 KB · Views: 51
Baada ya kupiga kazi ya kusaka mkate nikaenda 900 (usishangae ni bar inaitwa 900 itapendeza kama msemo wa Dr. Shika) ndo bar kubwa hapa Kibondo nikapiga bia kadhaa sasa naamka nakuta kuna bonge la dada kando ya kitanda anakoroma balaa hata sijui amekujaje.

Thank God nimeamka na nguo zangu mwilini na mkanda kiunoni na yeye yupo full suited.

Gambe sio poa kabisa aisee

Usichangie chochote.!!![emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]View attachment 1129574View attachment 1129575
mwamba unatuangusha.

picha ya uchakataji wa hiyo malighafi iko wapi?
 
Back
Top Bottom