Hakika siku hiyo ni wewe peke yake aliyetoa sadaka waliobaki waliwapa walaji wakahongee na kutanulia wakati kuna watu wana shida na wanastahili kusaidiwa kama ulivyofanya. Nimependa moyo wako na uumini wako katika utu na si dini hizi za wezi na wakoloni. Ubarikiwe sana mwananguJumapili iliyoisha Nilienda mwenye ibada kama kawaida, nikaketi Mistari kadhaa kutoka mbele, kwa kuwa nilikuwa nimewahi,
Ibada iliendelea kwa Kwaya za kanisani kwetu kutoa ujumbe kwa njia ya uimbaji na baadae Matangazo,
Katikati Ya ibada, Nilipata simu ya dharula Nikatoka nje kwa muda kidogo (Niliweka Vibration) Na ilikuwa ni simu muhimu kwa hyo ilibidi nipokee kisha Kurudi kuendelea Na Ibada.
Wakati narudi, Nilikuta sehem Niliyokaa Tayari kuna waumini wengine wamekaa na Kanisa lilishaanza kufurika, Mbele yangu kulikuwa na benchi 2 Za mwanzo ambazo bado zilikuwa bado na Ma gap, kwa hyo nikakaa benchi Moja wapo.
Mbele Yangu alikaa Mzee mmoja Ambaye nilipomwangalia, Ilikuwa tu Ni kama kapewa shati hilo sehemu, au hana option nyingine, lilikuwa ni shati Chafu, halijanyooshwa Na suruali vile vile, Pembeni alikuwa na mfuko aliobeba vitu ambavyo Sikuvijua.
Lakini pia alikuwa na kofia ambayo kwa Heshima na Madhabahu Alikuwa ameivua na kuiweka juu Ya Mfuko wake.
Mahubiri Yalianza, akawa na karatasi na kalamu anaandika na anafatilia kwa umakini,
Nilimwangalia miguuni Nikaona hana viatu na pembeni Yake kulikuwa na ndala zilizochakaa,
Muda wa sadaka ulifika, Hakusimama kwenda kutoa Sadaka. Kwanza kabla Ya sadaka nilianza kuwaza sana kuhusu Huyu mzee na passion aliyokuwa nayo licha ya kuonekana na Maisha magumu,
Alifatilia ibada, aliandika, alisikiliza kwa umakini, lakini nilimuona zaidi akiwa mnyonge wakati tunaenda kutoa sadaka na yeye hana.
Kabla hata ya kunyanyuka tayari linishawaza sana, Huyu baba huenda ana watoto tena wakubwa, Hana mavazi ya kuvutia kama wengine, Nikawa najiuliza anakula wapi? Amekujaje? Akitoka hapa anarudije? Anajisikiaje?
Nilipotoka kutoa sadaka Moyo wangu uliniambia "LEO SADAKA YANGU KUBWA NI KUMPA HUYU MZEE CHOCHOTE"
Nilimfata nikamshika mkono kama naongea nae kisha nikiwa nimekunja pesa mkononi nikampa, Akashtuka sana, kwa sababu nadhani hakutegemea, Alipoangalia mkononi, Niliona tabasamu kubwa sana kutoka kwake, Nikakunja mikono kumshukuru bila kuongea kisha nikaondoka..Alitamani aseme kitu lakini tayari Nikawa nimeshaondoka.
Jumapili ile, imenikumbusha KUTOA SADAKA sio tu kanisani au msikitini, Kuna aina Nyingi ya watu kama huyu mzee mtaani kwetu, kina mama wajane, n.k TUWAPE CHOCHOTE, tutenge siku hata moja tu unazunguka kidogo unamkuta mama anachoma mahindi nunua mhindi wako muachie hata elf 5 akawalishe wajukuu..Nadhani hizi ndio sadaka za kweli.
Poleni kwa kuwachosha na story Ndefu.
SADAKA.. SADAKA... SADAKA....
SADAKA imekua chanzo cha ugomvi wa chinichini kati ya waamini wenye imani dhaifu na viongozi wa kanisa.
Pia sisi wengine ambao hatufahamu maana ya sadaka, tujitahidi tu kutofautisha kutoa kwa wema (matendo mema) na utoaji wa sadaka.. Unaweza ukamkuta masikini ukampa Tsh 10k ukahisi kuwa umetoa sadaka kumbe umemsaidia tu muhitaji.
Kiufupi (kwasababu sadaka ni somo pana), sadaka ni MAELEKEZO YA Mungu mwenyewe juu yako, Unaweza ukaenda na kutoa milioni lakini mbele za Mungu isihesabiwe Kama sadaka yenye Kumpendeza.
Wapi nimesema ni lazima tutoe kanisani?Kwa hiyo ni lazima tutoe kanisani ili mungu arushiwe juu mawinguni.. ila wenye shid tunaowaona kwa macho tusiwape sadaka
pls read acts of apostles chapter 10, be blessedCornelius ilikuaje
Amina!Jumapili iliyoisha Nilienda mwenye ibada kama kawaida, nikaketi Mistari kadhaa kutoka mbele, kwa kuwa nilikuwa nimewahi,
Ibada iliendelea kwa Kwaya za kanisani kwetu kutoa ujumbe kwa njia ya uimbaji na baadae Matangazo,
Katikati Ya ibada, Nilipata simu ya dharula Nikatoka nje kwa muda kidogo (Niliweka Vibration) Na ilikuwa ni simu muhimu kwa hyo ilibidi nipokee kisha Kurudi kuendelea Na Ibada.
Wakati narudi, Nilikuta sehem Niliyokaa Tayari kuna waumini wengine wamekaa na Kanisa lilishaanza kufurika, Mbele yangu kulikuwa na benchi 2 Za mwanzo ambazo bado zilikuwa bado na Ma gap, kwa hyo nikakaa benchi Moja wapo.
Mbele Yangu alikaa Mzee mmoja Ambaye nilipomwangalia, Ilikuwa tu Ni kama kapewa shati hilo sehemu, au hana option nyingine, lilikuwa ni shati Chafu, halijanyooshwa Na suruali vile vile, Pembeni alikuwa na mfuko aliobeba vitu ambavyo Sikuvijua.
Lakini pia alikuwa na kofia ambayo kwa Heshima na Madhabahu Alikuwa ameivua na kuiweka juu Ya Mfuko wake.
Mahubiri Yalianza, akawa na karatasi na kalamu anaandika na anafatilia kwa umakini,
Nilimwangalia miguuni Nikaona hana viatu na pembeni Yake kulikuwa na ndala zilizochakaa,
Muda wa sadaka ulifika, Hakusimama kwenda kutoa Sadaka. Kwanza kabla Ya sadaka nilianza kuwaza sana kuhusu Huyu mzee na passion aliyokuwa nayo licha ya kuonekana na Maisha magumu,
Alifatilia ibada, aliandika, alisikiliza kwa umakini, lakini nilimuona zaidi akiwa mnyonge wakati tunaenda kutoa sadaka na yeye hana.
Kabla hata ya kunyanyuka tayari linishawaza sana, Huyu baba huenda ana watoto tena wakubwa, Hana mavazi ya kuvutia kama wengine, Nikawa najiuliza anakula wapi? Amekujaje? Akitoka hapa anarudije? Anajisikiaje?
Nilipotoka kutoa sadaka Moyo wangu uliniambia "LEO SADAKA YANGU KUBWA NI KUMPA HUYU MZEE CHOCHOTE"
Nilimfata nikamshika mkono kama naongea nae kisha nikiwa nimekunja pesa mkononi nikampa, Akashtuka sana, kwa sababu nadhani hakutegemea, Alipoangalia mkononi, Niliona tabasamu kubwa sana kutoka kwake, Nikakunja mikono kumshukuru bila kuongea kisha nikaondoka..Alitamani aseme kitu lakini tayari Nikawa nimeshaondoka.
Jumapili ile, imenikumbusha KUTOA SADAKA sio tu kanisani au msikitini, Kuna aina Nyingi ya watu kama huyu mzee mtaani kwetu, kina mama wajane, n.k TUWAPE CHOCHOTE, tutenge siku hata moja tu unazunguka kidogo unamkuta mama anachoma mahindi nunua mhindi wako muachie hata elf 5 akawalishe wajukuu..Nadhani hizi ndio sadaka za kweli.
Poleni kwa kuwachosha na story Ndefu.
Soma kitabu cha matendo 10....Cornelius ilikuaje
Wachoma mahindi wana hela weweeee
We wazarau tu
Ila Mungu aikumbuke sadaka yako kama alivyoikumbuka ya cornelius
Hakumaanisha kuwapa wachoma mahindi. DuuuWachoma mahindi wana hela weweeee
We wazarau tu
Ila Mungu aikumbuke sadaka yako kama alivyoikumbuka ya cornelius
Hii comment sentensi za mwisho inaumizaMkuu Mimi Mungu akinijalia ntakuja kusomesha mmoja wa watoto wa mitaani, Najua sitopungukiwa kitu kwa kufanya hivo, maana sijui wanangu watakuja kusaidiwa na nani nikiwa sipo

True kwenye mama mchoma mahindi kumuachia elf 5 hapa umemsaidia ni sadaka tosha.Jumapili iliyoisha Nilienda mwenye ibada kama kawaida, nikaketi Mistari kadhaa kutoka mbele, kwa kuwa nilikuwa nimewahi,
Ibada iliendelea kwa Kwaya za kanisani kwetu kutoa ujumbe kwa njia ya uimbaji na baadae Matangazo,
Katikati Ya ibada, Nilipata simu ya dharula Nikatoka nje kwa muda kidogo (Niliweka Vibration) Na ilikuwa ni simu muhimu kwa hyo ilibidi nipokee kisha Kurudi kuendelea Na Ibada.
Wakati narudi, Nilikuta sehem Niliyokaa Tayari kuna waumini wengine wamekaa na Kanisa lilishaanza kufurika, Mbele yangu kulikuwa na benchi 2 Za mwanzo ambazo bado zilikuwa bado na Ma gap, kwa hyo nikakaa benchi Moja wapo.
Mbele Yangu alikaa Mzee mmoja Ambaye nilipomwangalia, Ilikuwa tu Ni kama kapewa shati hilo sehemu, au hana option nyingine, lilikuwa ni shati Chafu, halijanyooshwa Na suruali vile vile, Pembeni alikuwa na mfuko aliobeba vitu ambavyo Sikuvijua.
Lakini pia alikuwa na kofia ambayo kwa Heshima na Madhabahu Alikuwa ameivua na kuiweka juu Ya Mfuko wake.
Mahubiri Yalianza, akawa na karatasi na kalamu anaandika na anafatilia kwa umakini,
Nilimwangalia miguuni Nikaona hana viatu na pembeni Yake kulikuwa na ndala zilizochakaa,
Muda wa sadaka ulifika, Hakusimama kwenda kutoa Sadaka. Kwanza kabla Ya sadaka nilianza kuwaza sana kuhusu Huyu mzee na passion aliyokuwa nayo licha ya kuonekana na Maisha magumu,
Alifatilia ibada, aliandika, alisikiliza kwa umakini, lakini nilimuona zaidi akiwa mnyonge wakati tunaenda kutoa sadaka na yeye hana.
Kabla hata ya kunyanyuka tayari linishawaza sana, Huyu baba huenda ana watoto tena wakubwa, Hana mavazi ya kuvutia kama wengine, Nikawa najiuliza anakula wapi? Amekujaje? Akitoka hapa anarudije? Anajisikiaje?
Nilipotoka kutoa sadaka Moyo wangu uliniambia "LEO SADAKA YANGU KUBWA NI KUMPA HUYU MZEE CHOCHOTE"
Nilimfata nikamshika mkono kama naongea nae kisha nikiwa nimekunja pesa mkononi nikampa, Akashtuka sana, kwa sababu nadhani hakutegemea, Alipoangalia mkononi, Niliona tabasamu kubwa sana kutoka kwake, Nikakunja mikono kumshukuru bila kuongea kisha nikaondoka..Alitamani aseme kitu lakini tayari Nikawa nimeshaondoka.
Jumapili ile, imenikumbusha KUTOA SADAKA sio tu kanisani au msikitini, Kuna aina Nyingi ya watu kama huyu mzee mtaani kwetu, kina mama wajane, n.k TUWAPE CHOCHOTE, tutenge siku hata moja tu unazunguka kidogo unamkuta mama anachoma mahindi nunua mhindi wako muachie hata elf 5 akawalishe wajukuu..Nadhani hizi ndio sadaka za kweli.
Poleni kwa kuwachosha na story Ndefu.
Maajabu ya shetani ukiwa na ndoto au dhamira ya kuja kuwasaidia watu upati huo utajiri.Mkuu Mimi Mungu akinijalia ntakuja kusomesha mmoja wa watoto wa mitaani, Najua sitopungukiwa kitu kwa kufanya hivo, maana sijui wanangu watakuja kusaidiwa na nani nikiwa sipo