Nimejeruhi Vibaya Mhudumu wa Bar

kwani ulielewaje?
 
Ulikurupuka kumpiga kama ulivokurupuka kutuletea upuuzi humu Jf.
 
Tatizo ni ujinga wako
 
pole kwa kupigwa kichwa na mhudumu kisha ulivyo muongo unasingizia wewe ndo uliye mpiga!
 
kwani ulielewaje?

Arusha watu wengi wana maneno ya dharau na ubabe, kwani ni mara chache sana kusikia wanaume arusha wakiongea lugha za kistaarabu, hasa maeneo ya bar, na hata yule mhudumu alikuwa amekaa kisela sela kwahiyo matamshi yake mimi nikamchanganya huko huko. Suala lilimalizika pale pale kwani yule jamaa yangu niliekuwa nae pale ni chali wa pale arusha, baada ya simu moja mbili mambo yakakaa sawa. Hiki ni kisa cha kweli, whether mseme ni ujinga wangu, bangi n.k, nilichoeleza ndicho kilichotokea.
 
Una bahati sikuwa maeneo hayo kwani ungejuta kuzaliwa, mimi huwa upuuzi siwezi kuvumilia ningekutandika mpaka ujute.
 
Una bahati sikuwa maeneo hayo kwani ungejuta kuzaliwa, mimi huwa upuuzi siwezi kuvumilia ningekutandika mpaka ujute.

Pengine wewe kuambiwa 'sijaleta maji, nilidhani unatumia nyuma', ni kitu ambacho kingekufanya utoe tabasamu. Sio mimi. Na wewe ningekupiga ndoo ya kufa mtu, najulikana kwa hilo, ukikaa vibaya tu, meno hauna;
 
Hii ni stori ya kujitungia na siyo ya kwali na kungekuwa na ukweli ungetuambia baada ya pale nini kiliendelea
 
Pengine wewe kuambiwa 'sijaleta maji, nilidhani unatumia nyuma', ni kitu ambacho kingekufanya utoe tabasamu. Sio mimi. Na wewe ningekupiga ndoo ya kufa mtu, najulikana kwa hilo, ukikaa vibaya tu, meno hauna;

Mbona wenzako wameshafungua shule wewe hujaenda shule mbona?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…