Kaka tafuta msaada wa kiroho, You re possed and you need deliverance. Japo kuna role ya kwako ya kuplay, ila unahitaji kufanya maombi/kufanyiwa ili kuvunja hizo spiritual strongholds.
Hongera pia kwa kugundua ni tatizo, Ni maombi yangu ukapate uponyaji.
Jamani sio utani hili tatizo nilianza kama miaka minne mpaka sasa bado ninalo nimejaribu ila nimeshindwa kuacha mpaka sasa ...mpaka nimefika mwaka wa tatu chuo ....yaani ninapiga puchu mpaka nachanganyikiwa ...kila ni kimuona demu mkali paja nje namuhifadhi yaani mpaka niMMALIZE BAADAE ....kwa sasa imefikia nikimuona demu kavaa vibaya nipo radhi nichelewe kipindi ili nikajimalize ...kwa siku naenda hata mara tano ...nimejaribu kuacha kwa kutafuta Malaya wa dar lakini naona hawaNIFIKISHI SIPATI LADHA KAMA ILE NINAYOJIBANA ....chumbani ninapokaa na wenzangu hawajui chochote kuhusu hili mpaka sasa huenda nimepita kindoto na maduu 30000
ikiwemo mastaa wote unaowafahamu hapa bongo! NATAMANI KUACHA Lakini nashindwa na KUNASIKU NILIJIAPIZA KUACHA NIKAJIzuia kwa siku moja ..siku iliyofuata niLIJILIPUA VIBAYA mpaka misuli ya makalio ikawa inauma ! NAOMBA MSAADA WA DHATI TAFADHALI!
Mkuu, hili tatizo sio kubwa linatatulika, mwenyewe nimefanya sana, huwa ni uvivu wa kutongoza.niPO SERIOUS MDAU SIJATUNGA ni true kutoka kwangu mimi mwenyewe!