msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Kwanza kabisa namshukuru mola wangu na wenu kwa bahati hii japo sijafanya maamui bado, nimeitwa unv west africa .. Nimekuwa kwenye rosta ya unv kwa toka mwaka 2002 na nimeshitwa mara tatu moja nilikataa maana ilikua short mission ya south sudan wakati ule wa uchaguzi na nyingine ilikua ya afghanstan hii sikuiona email yako ilikua trashed kama junk mail. Jana tena wamenitumia offer nyingine ya west africa ,, naombeni msaada kwa wale walopata kufanya kazi za unv complete parkage yao huwa kiasi gani,, yaani ile take home.
Mwisho kabisa na himiza vijana kujisajili na hawa jamaa wa unv,, ni wakweli na hawana mambo ya mlango wa nyuma ukijisajili kwenye system yako unapewa rosta number yao system iki match unaitwa,, kunajamaa yangu yuko un leo alianzia hapa mwaka 1998 mpaka leo ni mwajiriwa wa un full time.