Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Asee mimi nlishawahi kutongoza dem flan iv kumbe ndo michongo yake,nkapiga sound weee! Mtoto akawa kama anaelekea kueleweka iv..siku ya siku nkapewa appointment ..c nkajua leo naenda kuokota dodo chini ya mnazi,wacha kabisa,dem kanambia anataka nipige pamba nisivae kihuni..nkasema sawa..wazo likiwa leo naenda kula kiulain au napelekwa ukwen,bas bwana kama ilivo ada nkavunja kabati na mende woote wakakimbia 

..nkangurumisha ndinga,breck ya kwanza shel kutia kiwese..mimi huyooo mpaka sinza ..cjui ndo mbele ya meeda..asee ile nafika dem kanifata nje ananikaribisha ndan huku najiuliza mmhh..leo cjui itakuaje huko..nb!. Alikataa before kunambia ananiitia nn! Asee ile naingia wakaitana eti goodmorning na n mchana jua kali..asee mara wananipa mikono..nkawa najiuliza hiki n nn asee! Kusema kwel walijaribu kunieleza blah blah zao pale nkawa nasikiliza tu,jamaa wananipa mchongo wa dollar wakat nkiwaangalia wamepauka (Mungu anisamehe) .Nlivotoka kupewa pindi nliondoka nmekasirika sana na no.ya yule dem nkaifuta.Tafadhali kama wazee wa goodmorning mpo hapa naomba tusipotezeane muda! Tafuten shughuli za halali mfanye.

Mkuu, Good Morning.