Nimeitwa Kwenye Network Marketing

Nimeitwa Kwenye Network Marketing

Jamaa yangu alikua hana kazi. Good morning wakamfuata wakamwambia kuna biashara/kazi inayolipa vzr huku. Jamaa kenda siku ya kwanza na ya pili. Jioni ya siku ya pili kaambiwa anunue saa ya 5m halafu baada ya muda atajikwamua na umaskini. Jamaa kabaki mdomo wazi. Kazi sina, hapa nimekuja kwa mguu, sijala mchana nina njaa na natakiwa nirudi Kimara kwa mguu halafu kirahisi tu mtu anakuambia tupe milioni tano. Yaani FIVE MILIONI TSHS
 
Jana kuna rafiki yangu alinambia ana project fulani anayofanya na wa-Malaysia kwa hiyo mimi kama rafiki yake kipenzi angependa tu-shee hii fursa.
Nlipojaribu kumdodosa ni aina gani hiyo ya project akakataa katakata kunambia kwa madai ya kwamba hayo yote ntayajua nikishafika ofisini.
Inshort mimi nina uelewa mpana wa hizi network marketing, na najua anaenda kupigwa, lkn ngoja niingie tuu niwasikilize.
Salamu kuu hapa ni GOODMORNING muda wote, yani ni kama kale ka salamu ka HI! ambako hakanaga muda wala saa.
Ntazidi kuwapa updates.
=====================================
zimepita kama wiki mbili hivi jamaa alinitafuta WhatsApp akajitambulisha porojo nyingi nikamdodosa kama ulivyosema ila hakutaka kuwa wazi zaidi ya kusema niwatembelee ofisini kwao ili nijue zaidi nikasema sawa ndo ikapita hadi leo sijawahi kwenda kila siku jamaa ananitumia meseji za "Good morning" nampotezea tu,siku akijua anapoteza muda wake ataacha.
 
Msikilize. Akitaka ujoin, mwambie huna pesa na akukope hela yote ya kiingilio na utakuwa unamlipa tararatibu kadri unavyovuna mpaka deni liishe. Bila shaka atachomoa na urafiki wenu utadumu
 
Msikilize. Akitaka ujoin, mwambie huna pesa na akukope hela yote ya kiingilio na utakuwa unamlipa tararatibu kadri unavyovuna mpaka deni liishe. Bila shaka atachomoa na urafiki wenu utadumu
Achievements zao simubza iphone na magari eti., utasikia wanakuambia utakuwa unakunjua dola tuu, halafu ofc zenyewe hazina hata bango.
 
Nilikurupushwa na jamaa yangu toka mbagala Hadi msasani yaani jamaa anasisitiza uwahi Kuna utajiri huku ....kufika duuu nikakuta Ni yaleyale nitoe laki tano niwe member eti watu wanatengeneza mamilioni ukiwaangalia wanaokuhamasisha wamechoka mbaya .....
IMG_20190416_150502_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mwanza hao Q-net wana kiji ofisi chao maeneo ya Mkolani barabara ya kwenda Ibanda primary. ...Jamaa alikua ananisiatizia kweli niende kwakua nnamheshm sana nilienda,nikijua huenda kuna job mpya..nilivofika nikakaribishwa na kiti kwa nje kuingia ndani naona wanaitana "Partners" wanakuja kutengeneza ki circle afu Good morning. ...nikacheka sana moyoni,nikasema huu upuuzi nshasoma shuhuda zake nyingi JF ...after 1st presentation urafiki,uswahiba na yule jamaa yangu umekufa coz nilikuja kumpigia simu kumwambia shtuka
 
Q NET ... Hahaaaa, marketer wao wapo so dilutional na wanaogopa kitu chochote kinachoitwa swali. Mkuu, ukitaka kuwaweza hakikisha unauliza maswahili mengi magumu kwa mfululizo ...
 
ALIKUJA MMOJA AKAWA ANANICHOREA VIKATUNI KATUNI MARA ITA WATU WATANO NAO WATANO WALETE WATANO..HALAFU KIINGILIO LAKI 5
MIMI HATA SIKUWA INTERESTED NILIKUWA NASUBIRI AMALIZE AONDOKE ZAKE HUKOO
😂😂😂😂😂😂
 
ALIKUJA MMOJA AKAWA ANANICHOREA VIKATUNI KATUNI MARA ITA WATU WATANO NAO WATANO WALETE WATANO..HALAFU KIINGILIO LAKI 5
MIMI HATA SIKUWA INTERESTED NILIKUWA NASUBIRI AMALIZE AONDOKE ZAKE HUKOO
😂😂😂😂😂😂
Hawa jamaa wana njaa sana
 
njaa hizi, mimi nilitwa bwanq na demu mmoja sasa nkajua kuna Job interview maana alikua ananipanga kweli.

Siku ikafika nkapigilia miparo yangu nkasema naenda kuua huko "Dress to impress" .

Niko njiani akanipigia mbona unachelewa, tutafunga hapa utakosa nafasi mzee nkakimbiza ndinga balaaa.

Kufika, naambiwa Good Morning aisee nilichoka nkasema haya mambo ya Jamii Forums leo nimekamatika.
 
Pole sana mkuu

  • Thanks
Reactions: dtj
Hao jamaa wa Q-net ni michosho kweli kweli yani maofisi yao yameenea sinza karibu kila mtaa wapo..
Sasa basi inapofika hiyo jioni wanapokutana humo na ukute siku hiyo wamedaka kichwa kipya basi wanavyopiga makelele na wanavyoimba unaweza ukadhani ni haya makanisa ya siku hizi ya mwendokasi
 
  • Thanks
Reactions: dtj
njaa hizi, mimi nilitwa bwanq na demu mmoja sasa nkajua kuna Job interview maana alikua ananipanga kweli.

Siku ikafika nkapigilia miparo yangu nkasema naenda kuua huko "Dress to impress" .

Niko njiani akanipigia mbona unachelewa, tutafunga hapa utakosa nafasi mzee nkakimbiza ndinga balaaa.

Kufika, naambiwa Good Morning aisee nilichoka nkasema haya mambo ya Jamii Forums leo nimekamatika.
goodmorning mkuu
 
Kama ww n mshkaji af nikagundua hizo ndo ishu zako hua nakupotezea mazima,sitaki urafiki na matapeli mimi
 
Back
Top Bottom