Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,184
- 19,384
Jana kuna rafiki yangu alinambia ana project fulani anayofanya na wa-Malaysia kwa hiyo mimi kama rafiki yake kipenzi angependa tu-shee hii fursa.
Nlipojaribu kumdodosa ni aina gani hiyo ya project akakataa katakata kunambia kwa madai ya kwamba hayo yote ntayajua nikishafika ofisini.
Inshort mimi nina uelewa mpana wa hizi network marketing, na najua anaenda kupigwa, lkn ngoja niingie tuu niwasikilize.
Salamu kuu hapa ni GOODMORNING muda wote, yani ni kama kale ka salamu ka HI! ambako hakanaga muda wala saa.
Ntazidi kuwapa updates.
=====================================