Nimeitwa kwenye interview vodacom

Kikubwa unatakiwa ujiamini na uweze kujibu maswali utakayoulizwa kwa ufasaha kwa yale utayokuwa unayafahamu. Kama utakuwa na vigezo wanavyovihitaji utafanikiwa tu kuipata hiyo kazi. All the best.....
 
Vizuri sana ukifanikiwa hata ukifanikiwa uje hapa utoe elimu maana watz wengi wakishaona kazi ya nje yenye competition au kwenye mashirika makubwa wanakimbia hatari. They take chances na huko nje kuna kazi nyingi, cha kushangaza wabongo hatuonekani ila watu wa asia na eastern europe na west africans na kwa EA wakenya. Wabongo tumelala tuko bize maneno kuliko vitendo
Umesema kweli mkuu yaani kwenye kampuni za kimataifa hatutambuliki kabisa.Mimi Kuna kipindi niliwah kufanya kazi Kenya yaani kampuni karibu zote kubwa wanaweka branches kule.
Na Kuna kipindi nilibahatika kwenda Dubai yaani kwenye maeneo ninayopita nikikutana na rangi nyeusi ni Watu wa Ghana tu.
Ukijitambulisha ni Mtanzania hata hawaijui utawasikia wanakuuliza tena"Is Tanzania in Kenya?
Yaani niliumia sana.
 
Ukienda middle east kuna project nyingi sana za ujenzi so fulsa ni nyingi lakini watz wana ogopa to venture into new opportunities. Angalia hata wachezaji wetu hawastuggle kufanya trials hata huko pembezoni mwa ulimwengu wa mpira kwenye scadinavian countries. Uwezi hamini nikimkuta mkenya guatemala anacheza mpira lakini anajiita mghana na ana pasport ya ghana. Waswahili tupo kindezi ndezi tu. Tunaishia kulalamika
Umesema kweli mkuu yaani kwenye kampuni za kimataifa hatutambuliki kabisa.Mimi Kuna kipindi niliwah kufanya kazi Kenya yaani kampuni karibu zote kubwa wanaweka branches kule.
Na Kuna kipindi nilibahatika kwenda Dubai yaani kwenye maeneo ninayopita nikikutana na rangi nyeusi ni Watu wa Ghana tu.
Ukijitambulisha ni Mtanzania hata hawaijui utawasikia wanakuuliza tena"Is Tanzania in Kenya?
Yaani niliumia sana.
 
Hahahaha man unamlisha matango pori. Si kila analyst ni IT. Business analyst mara nyingini wenye professional ya BA..adminstartion. so apa umempeleka kwingine man

Business Analyst ni IT mzee so ajiandae na maswali ya code kidogo atakuja kukupa mrejesho na nina uhakika 75% ya requirement ya kazi ilikuwa inataka mtu wa IT kama kweli tangazo ilikuwa inasema Business Analyst, na A business analyst is someone who analyzes an organization or business domain and documents its business or processes or systems, assessing the business model or its integration with technology....

OVA
 
Kaka hiyo nafasi niliisoma online. Walikuwa hawataki IT bro. Walihitaji mtu wa BA.
Sio kila analyst ni IT.. muwe makini. Na muwe mnasoma matangazo vizur kuwa wenyewe wanataka kitu gani.
Tena waliandika pale chini wanataka mtu wa BA...
 
Umesema kweli mkuu yaani kwenye kampuni za kimataifa hatutambuliki kabisa.Mimi Kuna kipindi niliwah kufanya kazi Kenya yaani kampuni karibu zote kubwa wanaweka branches kule.
Na Kuna kipindi nilibahatika kwenda Dubai yaani kwenye maeneo ninayopita nikikutana na rangi nyeusi ni Watu wa Ghana tu.
Ukijitambulisha ni Mtanzania hata hawaijui utawasikia wanakuuliza tena"Is Tanzania in Kenya?
Yaani niliumia sana.
Ukitaka kuona / kuomba katika kampuni za kimataifa Hua wanatoaje matangazo Yao au unaomba VP? Ingekua vyema ukielezea japo kwa uchache inakuaje bro
 
Ukitaka kuona / kuomba katika kampuni za kimataifa Hua wanatoaje matangazo Yao au unaomba VP? Ingekua vyema ukielezea japo kwa uchache inakuaje bro
Jiunge na mitandao wa linkedlin jisajili tengeneza connections na wadau ma HR ma CEO na makampuni huwa na accounts huko. Pia uwe unatembelea website zifuatazo
Mabumbe.
Kijiwe
Tayoa job portal.
 
Jiunge na mitandao wa linkedlin jisajili tengeneza connections na wadau ma HR ma CEO na makampuni huwa na accounts huko. Pia uwe unatembelea website zifuatazo
Mabumbe.
Kijiwe
Tayoa job portal.
Kwenye kuomba Mara nyingi watu huombea kupitia tovuti za makampuni binafsi. Huwa na utaratibu wa kujisajili na kujibu maswali machache, kuupload CV etc
 
kama wewe sio mtoto wa kigogo nenda kapate experience tu ya interview position hizo hawapati watoto wa kajamba nani.
Kuna watu hawatakuamin ila ndo ukweli

Kam ni mtot wa kajamba nani bhasi uwe na connection strong
 
Back
Top Bottom