Nimepigiwa simu ya interview tanroads kigoma, weighbridge operator kwa sasa nipo musoma. Sifahamu chochote kuhusu malipo ya tanroads upande wa mizani naomba maoni yenu kuhusu hii kazi.
Nimepigiwa simu ya interview tanroads kigoma, weighbridge operator kwa sasa nipo musoma. Sifahamu chochote kuhusu malipo ya tanroads upande wa mizani naomba maoni yenu kuhusu hii kazi.
Nenda kachukue pesa hizo bro salary yao mia nane take home yao kama mia 650mpaka690 inategemea na makato poa kuna allowance mia 3 kati2 ya mwezi plus other packages za kuzidi mizigo kiufupi inalipa jiandae kwa interview coz competition inakuwa kubwa coz watu weng wanataka hiyo kazi nakutakia interview njema i wish cku nyingine utakuja kutoa ushuuda jf