Nimeitwa kwenye Interview IRDP Tutorial Assistant

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
911
Habarii wanajamvi mimi bhana nimeitwa kwenye interview Tutor (Rural development), na ni mara yangu ya kwanza na Inafanyika jumatatu sijui hili wala lile... kwa wenye uzoefu basi na hizi mambo mtufungue na sisi pakuanzia na kuishia... jamani
 
Kwanza kabisa hongera sana kwa kufikia hatua hiyo muhimu, pili jiandae na hakikisha rural development as a course unaijua vizuri maana maswali yatatoka hapo,pia hakikisha unaijua research kiundani maana wanapendelea kutoa research,tatu hakikisha unajua walau hata job responsibilities Tano za hiyo kazi yaani usitunge hakikisha umemeza kama zilivyo kwenye advert. Mwisho kabisa Muombe Mungu na Jiamini.
 
Unaikumbuka ile topic ya mwanzo kabisa ya course yako, let's say kama ulisoma economics itakua Economic 101. Isome kwa dhati halafu topics nyingine utajiongeza mwenyewe. Na issue nyingine ni research. Mungu akutangulie mkuu.
 
Amina kubwa
 
Amina kubwa kaka
 
Habarii wanajamvi mimi bhana nimeitwa kwenye interview Tutor (Rural development), na ni mara yangu ya kwanza na Inafanyika jumatatu sijui hili wala lile... kwa wenye uzoefu basi na hizi mambo mtufungue na sisi pakuanzia na kuishia... jamani
Fanya maandalizi ya uhakika kwenye "topic" moja inayohusu kozi unayoomba, pia jiandae kufanya "presentation" /kufundisha kisha kujibu maswali ya hao watakao kuwa kwenye "panel".
Kila la heri ndugu.
 
Kila la kheri mkuu, bila shaka umepata muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…