michael sambu
New Member
- Jan 4, 2017
- 3
- 6
Habari za muda huu wanajamvi? Nimebahatika kuitwa kwenye usahili wa nafasi tajwa hapo juu, lakn changamoto n kuwa hii n mara yangu ya kwanza kwenda kufanya interview za utumishi, naomba mwenye uzoefu, maswali ya, examination officer yanavyo kuwa anisaidie tafadhali sambamba na uzoefu wa namna interview zinavyo kuwa. Natanguliza shukrani.