Nimeitwa interview NMB

Nimeitwa interview NMB

wazirihusika

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
83
Reaction score
82
Wadau nimepigiwa simu kesho nifike NMB house,kuna interview ya kazi ya contract ya miezi mitatu katika department ya finance,naombani uzoefu wenu wa hizi short contract employement
 
NMB na yenyewe imekuwa kama crdb, watu wanatangaziwa, wanafanya interview na kuitwa kazini wakati wa dinner nyumbani, embu weka tangazo la kazi walilotangaza
 
Nilitumia CV kitambo sana hata nilishasahau niliomba kitu gani
.Hata tangazo silikumbuki
 
Acha udanganyifu wew unawezaje kuxahau kaz uliyoomba co uongo huo au unataka na wengne tusiombe nin ?
 
Ni vigumu sana kukumbuka mana uliambiwa tuma cv kwenye e mail fulani, anyway watafute watu wa waliofanya intervw May na June kanda ya ziwa na Kaskazni
Nilitumia CV kitambo sana hata nilishasahau niliomba kitu gani
.Hata tangazo silikumbuki
 
Tanroad .... ila utumishi ndo watatoa maana application tuliaddres huko....so tuendelee kusubiri
 
Acha udanganyifu wew unawezaje kuxahau kaz uliyoomba co uongo huo au unataka na wengne tusiombe nin ?

Bank ndivo walivyo, nilituma maombi Exim Bank mwaka 2010,wamekuja kuniita for interview mwaka huu 2014 nlishasahau kabisa
 
Wadau nimepigiwa simu kesho nifike NMB house,kuna interview ya kazi ya contract ya miezi mitatu katika department ya finance,naombani uzoefu wenu wa hizi short contract employement

Nimefanikiwa interview Jumatatu nimeambiwa nifike na original certificates pale NMB house,naomba yeyote anayejua kwa level ya masters naweza anza na salary ya kiasi gani?
 
mbona una wenge wewe au ndo kupagawa ?maswala ya mshahara nenda hukohuko kama utapita basi utapatiwa mkataba na utaona mshahala wako. issue yenyewe ni jumatatu sasa ww unaona mbali au?
 
Nimekuelewa madege ila sikuulizia mshahala,niliuliza mshahara.Halafu sina wenge kama huna ajira na unastress nipm nikusaidie ila uwe umesoma course za business
 
Mkuu, ngoja ni niku pm nipate kazi maana mtaani ku gumu sana aisee!
 
Masters unaona kama kubwaaaa! Mshahara sio level ya elimu ni productivity na experience ndugu.
 
Watu bana kwani kakwambia ni kubwa ?? alaf inategemea na sehemu kwa serikalini level ya elimu huzingatiwa
 
Jichangechange na wewe ukaisome ni Milioni kama saba,muda miezi kumi na nane tu,sio kubwa dotnet
 
Nimefanikiwa interview Jumatatu nimeambiwa nifike na original certificates pale NMB house,naomba yeyote anayejua kwa level ya masters naweza anza na salary ya kiasi gani?
Hautalipwa kutokana na elimu yako bali kutokana na kiti utakachokalia... nimesomeka? It doesn't matter kama una masters au bachelor... ikiwa utaajiriwa kama Teller (kiti utakachokalia) basi utalipwa kama Teller na ikiwa utaajiriwa kama Loan Officer (your chair) basi utalipwa kama Loan Officer na sio kama a guy with masters degree with distinction...
 
Thx NasDaz nashukuru kunielewesha
 
Jichangechange na wewe ukaisome ni Milioni kama saba,muda miezi kumi na nane tu,sio kubwa dotnet

Mimi pia ni graduate wa master's degree. Na kwangu mimi I'm just proud of the advanced knowledge niliyo nayo na uwezo na trust ninayopata kuwa naweza kuongoza wengine. Lakini sijawahi kuiweka mbele kama kugezo cha mshahara. Na pia nadhani ni ile hali ya kuwa na kitu unakiona cha kawaida baada ya kukipata ila kabla ulikiona kilubwa sana. Baada ya kugraduate masters niliona haina sababu au kizuizi kinachonifanya nisisome doctorate nikaanza kuapply scholarships ila baadae nikaghairi ile courage ilishuka Hivyo nasema kitu ninachokijua ndugu.
 
Watu bana kwani kakwambia ni kubwa ?? alaf inategemea na sehemu kwa serikalini level ya elimu huzingatiwa

Hivi huoni kuwa amesimamia masters kama nguzo? After all ni elimu ya kawaida sana siku hizi tofauti na miaka ya '90. Na hata quality imeshuka maana universities nazo zimekuwa kama shule za kata. Labda usomee mbele kama UK etc
 
Hautalipwa kutokana na elimu yako bali kutokana na kiti utakachokalia... nimesomeka? It doesn't matter kama una masters au bachelor... ikiwa utaajiriwa kama Teller (kiti utakachokalia) basi utalipwa kama Teller na ikiwa utaajiriwa kama Loan Officer (your chair) basi utalipwa kama Loan Officer na sio kama a guy with masters degree with distinction...

Well said.
 
Back
Top Bottom