Nimeitwa Discussion!

Noumaaaa noumaaaa
 
Duuuuh! Hapo hakuna kusoma ni mwendo wa vipara tu
 
Masikini pole sana. Ukiona mtu anarukia tu liwalo na liwe huyo hana future kabisa. Kapime afya
 
Masikini pole sana. Ukiona mtu anarukia tu liwalo na liwe huyo hana future kabisa. Kapime afya
Ilikuwa Zamani kipindi cha tv na antenna siyo leo kwa vingamuzi. Sijakohoa wala kupata upele sasa nikapime nini, au nipimwe akili.
 
Mbona poa tu, I will discuss kwa nini kanivalia vile na kwa nini chumba chake kichafu, kisha naondoka na kumuonya asirudie tena kuniita for a discussion ikiwa atayarudia yale yale.
Utakuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Wahi kwa Doctor Mwaka
 
Utakuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Wahi kwa Doctor Mwaka

Matatizo ya kiume sina, isipokuwa sina tamaa za kijinga kama wewe, kwa umri wangu nimeyaona mengi na nimefaidi mengi. Tofautisha haya ndipo utanielewa.
 
Matatizo ya kiume sina, isipokuwa sina tamaa za kijinga kama wewe, kwa umri wangu nimeyaona mengi na nimefaidi mengi. Tofautisha haya ndipo utanielewa.
Kwa mwanaume kutamani ni kawaida sana. Tumeumbwa na tamaa
 
Kwa mwanaume kutamani ni kawaida sana. Tumeumbwa na tamaa

Ni kweli ila kumbuka si kila mwanamme ni mjinga au mwenye tamaaa za jogoo kihivyo...ukifika umri fulani kusoma alama za nyakati ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…