Nimeitwa Discussion!

Ukitoka apo kashakuachia ukimwi basi roho yako burudani acheni uzinzi vijana....
Ajali kazini kama ajali nyingine, na kumbuka demu usipompa dushe huwa wanaleta dhereu, mimi kuna mmaza mmoja anafanya kazi NAOT, Hua nampa dushe tu,maana kipindi tunasoma Chuo alikua anapenda sana nimufundishe hesabu na Financial Accounting
One day tunaenda town just for shopping akaninunulia jeans kali sana na t-shirt yake na raba kali sana,akasema tulale twon,mwanaume nikasema poa... usiku nilimkojoza hatari.. hadi leo namtafuna na ana watoto 3,daily hua wananiita tu uncle na mme wake ni mzee kidogo so hawezi show
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ basi na kufunga mlango ulikumbuka kweli?
 
Ulikumbuka kinga, au ulivaa baada ya mechi?
 
Kuna story inaitwa "MARIA" nadhani ilitamba sana in social medias jamaa kakua na manzi kijiji, manzi alipoenda chuo mapenzi ya kaisha cause ya status na hizo mambo za "DISCUSION" yaani huwa ni kutiana majaribu sana alafu unakuta anakwambia njoo usiku, usijali ntapika etc...GRADUATE WITH A's...NOT wat tena.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…