Nimeitoa kwenye facebook page ya Mkenya

Hahahahahaaaahaaaaaaa duuuuuh nimecheka mbayaaaaaaaa.......
Hebu njooni mchangamshe mbavu jamani... everlenk atoto sumbai mito nimeshindwa kucheka mwenyewe atiii
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa!! Na kiswahili chao sasa, daaah nimecheka sana

Mimi nimecheka hapo unaenda kukunyaa mlangoni kwa jirani yako kwa kuwa alikuita una mambo ya kitoto akiamka asubuh akiona huo mzigo atasema hii ni ya mtu mzima kwa hiyo ujue umekuwa
 
Wakenya wana sense of humor kwa kweli, marafiki zangu wa kikenya kule facebook usiwapimie kihivyo, ni stress free.
 
We jamaa utani mwingine weka angalizo, utatuvunja mbavu buree!! Mi hoi, jamaaa kiboko!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…