Kiwanja cha 70*45 Tshs Ngapi??Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia Sumbawanga
Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.
Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.
Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia
Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.
Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.
Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.
Hakuna foleni
njoo huku.
Ukichelewa shauri zako.
Mita,,Hizo futi mita?
Maana ya Sumba ni =tupanani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?
aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Unaweza ukaishi pembezoni mwa kanisa la upako na ukarogwa pia.! Muhimu Mtangulize Muumba wako.nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?
aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Itategeme umefuata nini kama umemgongea mkewe lazima akutengeneze bei ya radi ni jelo tu.sh.500huko noma watu wanazuia mvua wanazuia jua mtu anaweza akaleta mvua shambani mwake tu jua linauzwa kwa ajili ya kukomoa watu ukimkera mtu jiandae kutumiwa radi ni kitu cha kawaida sana
Jana tu (ijumaa tar 16/2016) jirani yangu hapa kisiwani (Sumbawanga mjini) ameniambia anauza uwanja wake 80*80 1.5milKiwanja cha 70*45 Tshs Ngapi??
Safi, sana.! Sumbawanga ni Maarufu kwa Vilimo. Gani???Jana tu (ijumaa tar 16/2016) jirani yangu hapa kisiwani (Sumbawanga mjini) ameniambia anauza uwanja wake 80*80 1.5mil
Jana tu (ijumaa tar 16/2016) jirani yangu hapa kisiwani (Sumbawanga mjini) ameniambia anauza uwanja wake 80*80 1.5mil
Unapo zungumzia plot unamaanisha yenye dimensions gani??? Taatifa plz!Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia Sumbawanga
Kuanzia Laela,Mpui,Tamasenga mpaka Luiche kila kitu ni kinono hasa kwa sisi tupendao chicha la asili.
Karibu mjionee hakuna taabu ya foleni,maji kelele wala uchafuzi wa mazingira.
Halafu tunapakana na nchi mbili Congo na Zambia
Kama kichwa yako haina mchanga mchanga na inawaza mema hii ndio sehemu ya kukimbilia.
Haiwezekani atoke binti Kenya anunue ardhi na kuwekeza na wewe umekaa hapo Dar unawaza mambo ya Dushe na papuchi.
Anatumia hati ya Ardhi yake kukopa ma bilioni
kijana amka hapo.
Hakuna foleni
njoo huku.
Ukichelewa shauri zako.
Plot utapata kwa sh laki tatu..
sasa unafanya nini huko mjini?
Majuto ni mjukuuu
Mgawanyo wa kazi usikufanye kuwa na dharau, kama yeye mwalimu wa nursary wewe inakuhusu nini? Kwa taarifa yako hata wenye elimu na kazi nzuri wapo hapa na huo uchawi unaoongelea ni mawazo ya kizamani, inamaana wewe bado una fikra za miaka ya 70, OK Mimi Nina masters nafanya kazi hapa Sumbawanga, wewe una elimu gani na unafanya kazi wapi kusikowachawi? Don't be ignorant!nani anataka kulogwa wewe? kaa peke yako ushalogwa wewe, Jina lenye ni sumba alafu wanga uanjua maana yake wewe?
aujui kwa nini pinda hayupoo uko ameishia kuishi Kongowe DSM? jiulize waziri mkuu kukimbia kwao, wewe Mwalimu wa NASARY unajitia kutuita ebu risiti paper upande grade walau uwe mwalimu wa msingi alafu nitafte nikufanyie mpango uame uko
Mkuu uko sehem gani? Mie nipo kisiwaniHizo futi mita?