Nimeipenda mnooooooooo

na mapambo ya toilet paper.......nzuri sana....hata mimi nimeipenda......hakuna stress.......
 
hiyo ni cake au maandazi?na sisi waafrika kupenda kuiga wazungu kunatudhalilisha sana!
 
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hii harusi kwere kweli .
 
Huyo binti hajafikisha miaka 16 huyo!!!
 
Hapo ni mpaka kifo kitakapotutenganisha.
 
Huku kwetu Mahenge hizi ndizo harusi standard.Anniversary ya miaka 50 kitu cha kawaida sana.
 
hii keki haijaikuta hiyo hapo juu kwa ubora

 
Bwana harusi kaomaa sana,mbona haendani na bibi harusi?isijekuwa photo shop hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…