nimeipenda keki ya Mwandosya.

Kwenye picha hii huyo binti aliyesimama hapo nyuma sio mchezo!!! Ni mwanae au mjukuu au mkwe wake? Na kama ni mwanae ana umri gani anakaa wapi.. Kwa wanaojua details tafadhali
 
kama protocol ya kwenye hiyo kadi imefuatwa atakuwa mjukuu.
 
Kwenye picha hii huyo binti aliyesimama hapo nyuma sio mchezo!!! Ni mwanae au mjukuu au mkwe wake? Na kama ni mwanae ana umri gani anakaa wapi.. Kwa wanaojua details tafadhali

Mkuu unaona sana ni binti yake mwandosya :spit:
 
Last edited by a moderator:
Mlitaka aweke Titanic kamaya bandari mkqmchunguze uwii
 
Safi sana,ila mimi nahisi hii itakuwa wajukuu zake wamemtengenezea ndo maana haina madoido na hata kadi wameandika kwa mkono tu,safi sana inapendeza.
 
Kwenye picha hii huyo binti aliyesimama hapo nyuma sio mchezo!!! Ni mwanae au mjukuu au mkwe wake? Na kama ni mwanae ana umri gani anakaa wapi.. Kwa wanaojua details tafadhali
Ushapata maono nini??
 
Huyo mjukuu aliyevaa tshirt ya njano ni photocopy ya babu yake
 
Make sure u have sweet gonjaa akupatoe kimwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…