Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,312 Reaction score 40,136 Jul 21, 2017 #21 Thats a point
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,252 Reaction score 9,662 Jul 23, 2017 #22 Hivi kuna tofauti ya kuwa tajiri na kuwa na hela nyingi?
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,465 Jul 23, 2017 #23 Sisi huku kwetu ukibahatika kupata hata 5M ya madafu tunabadilisha na muondoko,wakati huo tumeeneza midosho yetu ya makinikia shingoni na mikononi
Sisi huku kwetu ukibahatika kupata hata 5M ya madafu tunabadilisha na muondoko,wakati huo tumeeneza midosho yetu ya makinikia shingoni na mikononi
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Jul 24, 2017 #24 Red Scorpion said: Nimeipenda hiyo baada ya kuielwa ... naamini nawe ukishaielewa utaipenda! 'The Goal is to be Rich not to Look Rich' Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... This is bullshit, nini faida ya kuwa tajiri kama huishi kitajiri? huku kwetu TZ ukiwa tajiri kisha ukaisha maisha rahisirahisi tunajua tu kuwa ni utajiri wa kichawi.
Red Scorpion said: Nimeipenda hiyo baada ya kuielwa ... naamini nawe ukishaielewa utaipenda! 'The Goal is to be Rich not to Look Rich' Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... This is bullshit, nini faida ya kuwa tajiri kama huishi kitajiri? huku kwetu TZ ukiwa tajiri kisha ukaisha maisha rahisirahisi tunajua tu kuwa ni utajiri wa kichawi.
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,930 Jul 24, 2017 #25 Nyie hamjui wanafanya ivo kwa sababu ya uwezo wa kukontrol maisha yao, lakin sio kwamba hawapend kushow off,.. Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Nyie hamjui wanafanya ivo kwa sababu ya uwezo wa kukontrol maisha yao, lakin sio kwamba hawapend kushow off,.. Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,431 Reaction score 17,060 Jul 28, 2017 #26 Dodou said: So point inakuwa nini hasa ya kuwa tajiri wakati huvitumii? Click to expand... Si kwamba hawana matumizi ya ki bosi hao,point ni kwamba kuna haja ya kuwa tajiri ila hakuna haja ya kuonekana tajiri
Dodou said: So point inakuwa nini hasa ya kuwa tajiri wakati huvitumii? Click to expand... Si kwamba hawana matumizi ya ki bosi hao,point ni kwamba kuna haja ya kuwa tajiri ila hakuna haja ya kuonekana tajiri