Nimeingia mtandao wa X (Twitter)na kuondoka mwenyewe

Yah sio mara ya kwanza kujiunga na mtandao wa X hii ilikuwa mara ya pili nikiamini labda mda huu ninaweza kumudu ila nikashindwa tena.

X Kuna negativity sio za dunia hii.
X kuna majadiliano yenye kuumiza na kuvunja sana moyo eg mgogoro wa Palestine na kule Nigeria north unaona yanayotokea hadi nafsi inakata tamaa.

X Kuna picha na video za ngono zimetapakaa hadi sio poa. X Kuna matusi na fujo.

Kimsingi ni rough street kama auhitaji kwenda kule Baki Facebook na JF ni safe sana.
Kwanza huo mtandao hauna regulations watu wanatukana hovyo na upuuzi mwingine kama huo.

Walau hapa jf Kuna Maadili kiasi
 
๐— ๐—•๐—ข๐—ก๐—” ๐—ก๐—œ๐—ž๐—œ๐—๐—œ๐—จ๐—ก๐—š๐—” ๐—ก๐—”๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—ช๐—”?
 
X ina too much negativity kama haina ulazima kuitumia ili kupata kipato haina cha maana (nna zaidi ya mwaka toka niachane na account yangu huko)

Mtandao wangu pendwa ni YOUTUBE

Nikijisikia kucheka ntapita Facebook reels/shorts

JF napenda nyuzi za zamani kuna info nikitafuta lazima nipate na nyuzi za stories......
 
Back
Top Bottom