Nimeingia mtandao wa X (Twitter)na kuondoka mwenyewe

Yah sio mara ya kwanza kujiunga na mtandao wa X hii ilikuwa mara ya pili nikiamini labda mda huu ninaweza kumudu ila nikashindwa tena.

X Kuna negativity sio za dunia hii.
X kuna majadiliano yenye kuumiza na kuvunja sana moyo eg mgogoro wa Palestine na kule Nigeria north unaona yanayotokea hadi nafsi inakata tamaa.

X Kuna picha na video za ngono zimetapakaa hadi sio poa. X Kuna matusi na fujo.

Kimsingi ni rough street kama auhitaji kwenda kule Baki Facebook na JF ni safe sana.

inategemea na unao wafollow mkuu
 
Twitter umekuwa mtandao wa MAPUMBAVU.

Zamani angalau kulikuwa na wasomi kidogo.

Ndio maana akina NEPI NNAUYE wamekimbilia huko kujificha.
 
Mkuu, isije ikawa tatizo ni simu yako, ua mtandao unaotumia
acha kutete uozoo, JF PICHA KUFUNGUKAA MPAKA JASHO LITOKEE, HAKUNA KUSEARCH THREAD, NYUZI ZINAFUTWA HOVYOOO ZIKIMGUSA KIONGOZI YEYOTE, yaaaan jf itakufa kifoo kibayaaaaa, mm zaman nlikuwa siwez kukaa dakk 20 sijaingia jf
 
Back
Top Bottom