Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

Sep 10, 2013
335
471
CHADEMA family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,kazi iliyopo kuanzia kesho ni kumchapa huyu Tikiti maji Mpina ambaye mara anajifanya mwanaharakati wakati anaogopa kupoteza mafao,anataka kuja CHADEMA baada ya bunge kuvunjwa rasmi,nani kamwajiri amjengee?atausikia mziki wa m4c.

Ombi langu ni kwa wapenzi wa mabadiliko wote kuni -support km wanarorya walivyofanya juzi jimboni kwao,kwa pamoja tunaweza.
 
Kamanda unapokwenda huko mwakilishe MUNGU vizuri kwani kazi ya ukombozi unayoifanya usikwepe kuitwa MTUMISHI WA MUNGU au kwa kiarabu ABD-ALLAH
 
Asante mkuu na pongezi nyingi kwa jitihada kubwa za kukomboa nchi kutoka kwa mkoloni CCM
 
wafu wanaliwazana!!!

Mtatafuta kila lugha na tusi, ukweli utabaki pale pale, wasariti wamebainika na wameshughulikiwa period!
Kamanda Mawazo Bravo, pia wahi kule poti ukachukue kiti mkuu!
 

Pamoja sana kamanda! Waeleweshe makamanda kuhusu Zitto na wasaliti wenzake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unastahili heshima ndani ya chama, unachapa kazi, acha masalia wajitutumue lakini watauona mziki
 
Mungu akujalie na akutangulie katika hii safari ya ukombozi pongezi sana kwa kazi uifanyayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…