Nimeikuta mahali, nimeogopa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,495
Reaction score
103,136
Halafu Huyu Judge Ndunguru ndiye aliyesimamia ile kesi ya Bandari iliyofunguliwa na akina Mwabukusi. Kesi hii sasa itaanza kusikilizwa court of Appeal muda si mrefu.

Sijui ni Kwa nini serikali inapenda sana kumtumia huyu bwana, kuna namna tu…anapindisha sana mambo…
 
ok.🐒
 
Na mimi naona kama ccm inamtumia kupika na kufikia malengo yao kupitia mahakama.
 
Unaogopa nini acha unafiki hii ni zamu ya zenzinith wakipiga wapige haswa maana hii ndio karne yao
 
..ni kweli hamjui kwamba wapo mahakimu, majaji na wabunge ni waajiriwa wa genge la tiss ili kudeal na hizi assignment kwa urahis..? Mbona iko wazi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…