Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

Nmenunua mbuzi tena mmoja
 
Yaani umelipia ushuru wa neno la kiswahili mbuzi na ukalipia ushuru wa neno la kiingereza goat
 
Ushuru wa mbuzi ni 1500/= hio Buku ni mengineyo ukiuliza hawatakosa majibu wanaweza kukwambia ni gharama ya kuprint hio katatasi...

Ni urefu wa kamba tu mkuu..., na wewe tafuna kwe urefu wa kamba yako
 
Hii nchi bila wananchi kuamka huu ujinga hautaisha. Wangekuwa angalau ushuru kama huo wanafanyia kazi za maendeleo kusingekuwa na shida. Hizo fedha unakuta ni mkuu wa wilaya ameweka kimada wake sehemu anazitumia kumlisha.
Amka wewe.

Usisubirie mtu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…