Nimeikumbuka tena hii picha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
 

Attachments

  • 1409510636279.jpg
    9.5 KB · Views: 1,190
Jamani, mtoto kaokota hilo karatasi au mamake huyo kamwekea humo vimaji anyonye taratibu. Mkao wa mama unaonesha ni mtulivu si mang'aa huyo mama hawezi mnunulia mwanaye hayo makitu
 
Jamani, mtoto kaokota hilo karatasi au mamake huyo kamwekea humo vimaji anyonye taratibu. Mkao wa mama unaonesha ni mtulivu si mang'aa huyo mama hawezi mnunulia mwanaye hayo makitu

Hicho ni kiroba na kiko full hakijafunguliwa ni cha mama ila kampa mtoto akibebe na mtoto anatamani kujua nini kilichomo humo na kina ladha gani
 
Gharama za malezi ukiwa safarini kwa mguu na hakuna mto wala maji, mtoto akilia kiu, nyonyo hakuna, karushiwa Hiyo BENZENE
 
Sawa ila viroba vina uhusiano na chadema.

kwa sababu umepewa kazi ya kupambana na chadema mtandaoni basi we kila post ni chadema chadema muda mwingne tuzungumze mengine na inavyo onekana hata dada ako akit.iw.a utasema chadema
 
kwa sababu umepewa kazi ya kupambana na chadema mtandaoni basi we kila post ni chadema chadema muda mwingne tuzungumze mengine na inavyo onekana hata dada ako akit.iw.a utasema chadema

Sikushangai ni viroba hivyo ndio unatoa matusi.
 
Hatushangai kuona takwimu ya vifo vya watoto Afrika inatisha, kwasababu wazazi hawako makini na wala hawaonyeshi nia kujifunza sababu ya vifo hivi. Watu wapo wapo wanaishi kama zama za mawe.
 
Mama mtoto hajui kinachoendelea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…