steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
kuna muda wa kurefresh jamani mkuu sio kila muda tuongee mambo magumu jamani, ila uko sawa kwa mtazamo wako.
Jamani hii Siri nimeificha kwa muda mrefu leo nimeona bora niwaambie ukweli
"Mimi ndiyo yule nnaetoaga majibu ya hesabu zenu kwenye calculator"
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe boya pia una umri gani?Ule mlio wa ATM unapotoa pesa ni sauti yangu
Ule mlio wa ATM unapotoa pesa ni sauti yangu
Na kuna kenge mwenzio anajivunia kabisa kama wewe ndio jamaa yake????Hautofautian na wa dingi yako
Na kuna kenge mwenzio anajivunia kabisa kama wewe ndio jamaa yake????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada hayuko mbali na ukweli, kuna jiniazi huko Uingereza linauwezo wa kufanya hesabu yoyote kama kalkuleta.
Hili lipimbi hapa sijalielewa kabisaHatutofautian itikadi na mbwa ww
Mimi ndio nimetembea na mke wako weweMkuu naona umenijia juu kama nimetembea na mkeo...kama unataka kuchangia point nenda jamii intelligence huko. Heshima kitu muhimu
Tunakugombania wewe bibie!Pale watu wanapogombana hawajui wanagombania nini