Nimeielewa sana Toyota Hiace New Model

Nimeielewa sana Toyota Hiace New Model

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,663
Reaction score
167,602
Toyota Hiace Model 2019
20190218_02_kv_w1920.jpg

Toyota_GRANACE_Premium_%283DA-GDH303W-RDTJY%29_front.jpg

4749_19b5a26e27c1fd3ef487369ebd25cf22.jpeg
 
Also called
  • Toyota GranAce (Japan)
  • Toyota Commuter (Thailand)
  • Toyota Majesty (Thailand)
  • Toyota Granvia (Taiwan, Australia and UAE)
  • Toyota Quantum (South Africa)
 
Toyota Hiace Model 2019
20190218_02_kv_w1920.jpg

Toyota_GRANACE_Premium_%283DA-GDH303W-RDTJY%29_front.jpg

4749_19b5a26e27c1fd3ef487369ebd25cf22.jpeg
Tatizo sio ngumu bati lake ni kama plastic hiyo show tuu ukiigusa kwa mchina hainyoosheki ukanunie nyingine kuna jirani lake nimegongwa na guta ukiliona hutaamini utandhani tren ililipitia
 
Toyota Hiace Model 2019
20190218_02_kv_w1920.jpg

Toyota_GRANACE_Premium_%283DA-GDH303W-RDTJY%29_front.jpg

4749_19b5a26e27c1fd3ef487369ebd25cf22.jpeg

TOYOTA HAICE NEW MODEL 2019 ni moja kati ya gari ngumu sana na maarufu sana katika nchi yetu na barani afrika kutokana na uimara wake ....na kuwa na muundo mzuri na rafiki kwa maisha ya kibongo ...kama una ndotonya kufanya biashara ya usafirishaji yaani watu .....nakushauri anzia kwenye hiace ...kabla hujarukia kwenda kwenye costor na kwenda kupata preasure kwenye mabasi makubwa

TOYOTA HAICEimekuwa ikitengenezwa tangu mwaka 1967, na kufanya ipitie vizazi vinne hadi leo huku ikifafa sana na mpwa wake naye kapitia vizazi vinne toyota land cruaser pick up

TOYOTA HAICE toleo ambalo linaloshika chatinkwa sasa ni H200 na linajulikana tangu mwaka 2004 baada ya kutambulishwa kwenye soko la ndani la japani huku toleo hili likija na umbo lenye masahihisho kidogo huku umbo langari likiwa ni pana tofauti na matoleo yaliyopita, madirisha yakiwa ni makunwa na gear box ikiwa imefanyiwa marekebisho kadhaa katika kiutendaji

TOYOTA HAICE gari hiii inakuja na matoleo matatu ya injini ,huku machaguo mawili yakiwa ninya petrol na chaguo moja likiwa la dizel

Kuna injini ya cc2000 ambayo ni 1TR-FE, na 2700 cc ambayo inatumia injini 2TR-FE hizi injini mbili zinatumia mafuta ya petrol na kuna injini baba la baba ya dizel ni cc3000 huku ikitumia injini ya 1KD- FTV na ikiwa na adition ya turbo kuisaidia iwahinkuchanganya speed

Kama unatamani kufanya biashara maaeneo ya kijijini kutokana na mazingira yalivyo barabara nyingi ninza vumbi nakushauri chukua injinininayotumia dizel hiii ni injininhimilivu sana kwa barabara za vumbi na inanguvu sana hata kipindibcha masika utakuwa unachana tu kwenye tope bila wac wac - na makampuni mengi ya kitalii yanayozungushabwatalii mbugani yanayotumia haice huwa wanatumia haice zenye injini ya dizel

TOYOTA HAICE Transmition kuna aout ambayo ina 4 speed na kuna manual ambayo ni 5 speed

Tanki la gari hili ninlita 70 za mafuta

Njoo tuangalie grade za gari hili

## Toyota HiAce DX – Toleo hili ni toleo ambalo linakuja na machaguo mawili HiAce Van kwa ajili ya mizigo tu na kuna nyingine ni maalumu kwa ajili yabkusafirisha watu . Inakuja na vinyl seats, plastic carpet and steel rims.

## Toyota HiAce Super GL – Toleo hili pia linafafa na Dx ila nikwenye viti clothe seats, fabric carpet na alloy rims.

Upande wa mafuta maana hapa ndio watu hujikita zaidi

2012 Toyota HiAce Fuel Consumption

2012 Toyota HiAce 3.0L Diesel inatumia km 14.0 kwa lita 1

2012 Toyota HiAce 2.7L Petrol inatumia km 8.6 kwa lita 1

2012 Toyota HiAce 2.0L Petrol inatumia km 10.4 Kwa lita 1

Hapo ndio utakubaliana na mm kuwa injini ya disel yenye turbo ndio nzuri kwa kijijini inatumia mafuta kidogo hukunikiwa na nguvu kubwa

2012 Toyota HiAce Acceleration

2012 Toyota HiAce 3.0L Diesel accelerates kutoka 0-100km/h kwa 13.0 sec

2012 Toyota HiAce 2.7L Petrol accelerates kutoka 0-100km/h kwa 11.8 sec

2012 Toyota HiAce 2.0L Petrol accelerates kutoka 0-100km/kwa14.8 sec

GROUND CLEARENCE

Hapa wamenikosha sana yaani 7.7 inch hata kama ikijaza watu ikashuka mpk 7.0inch badoniko juu sana yaani hapa unakanyaga tu kibati huku ukiwahi kwenda kula vichwa vya kutosha yaani usiwe na shaka kabisa

BAADHI YA CHANGAMOTO

changamoto nyinginzinajitokeza kutokana na kutotilia manani muongozo wa kitabu cha gari ..,...kutopatikana fundi mzuri na saahihi

.

1. Injector Problems – Tatizo hili linatokea sana kwa injini ya dizeli lakini chanzo chake ni mafuta mabaya ya dizel hasa yale ya kunyonya kwenye malory ....unashauriwa kutumia dizel safi nenda sheli ukitumia ya kwenye dumu yanayouzwa mtaani chuja na chujio kabla ya kuweka kwenye gari

2. Turbo Failure – kunqsababisha na service mbaya katika gari pamoja na kuweka oil za bei ndogo ambazo hazina ubora zinapelekea kuua turbo

3. Engine Knock – kuchelewa kufanya service na kuchelewa kubadili oilbkwa wakati

4. Automatic Transmission failure – hasa upande wa gia box inatokana na kujaza sana mizigo kupita uwezo wa gari hii inaua sana automatic gear box

Kuhusu spear zipo hata ucjali

Mwisho niseme kama unataka kuwa mjasiria mali mdogo wekeza katika matoleo mapya ya haice achana na ya zamani pia nakishauri kuipangia root isiyozi km 150 kwa siku itakuliapa na itadumu sana

Mwenye nyongeza karibu uongezeee hapo maswali yajikite kwenye haice tu
 
Ichambue Toyota Hiace model 2019
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom