mtihani utaipata km ni ya gharama unakomaa utaipata (make sure you have all the details of your phone) sikuhizi kuna mahusiono kati ya polisi,network provider na tcra
Next tym vitu vya maana kene simu tumia cloud storage kwa sisi wa android tuna enjoy ya bure kabisa ya drive..... Una upload vitu vyako na vinakua veery safe ani...........