Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Huyu jamaa yupo kama Le Profeseli Lipumba kukosa uenyekiti wa chama anataka na chama kifungiwe.Bora ununue simu nyingine tu ili kuacha hizo roho mbaya za visasi.Narudia tena. Ukipigwa cm fanya utaratibu ununue nyingine. Unapoifungia ili iweje? Mkose wote siyo!?.
We nunua nyingine bhana acha roho mbaya.
ahahahah mkuu .....Narudia tena. Ukipigwa cm fanya utaratibu ununue nyingine. Unapoifungia ili iweje? Mkose wote siyo!?.
We nunua nyingine bhana acha roho mbaya.
Wakuu nimeibiwa kasimu kangu ka kupangusa aina ya huawei.
Nifanyeje ili kafungwe kasitumike tena kabisa au nikapate?
Ninazo imei namba zake.
Msaada please
THANKS. NASHANGAA WENGINE WANASHANGILIA WAKATI MWENZAO NIMEIBIWA.
ASANTE. NGOJA NIJARIBU NIONE.https://www.google.com/android/devicemanager
fanya kupitia hapo kwanza halafu uone utaambiwa nini kwa sasa.
Maana kuna option ya kuifanya itoe mlio,kulock, au kuformat. Kwa inshu yako fanya haraka haraka kaba haijawa wiped {hard reset} yawezekana ukambulia chochote kama aliyeiiba hajafanya lolote mpaka sasa.
Kila la kheri.
THANKS. NASHANGAA WENGINE WANASHANGILIA WAKATI MWENZAO NIMEIBIWA.
LAKINI NADHANI HII INAFANYA KAZI KAMA NILIKUWA NIME INSTALL HII KITU.
oyo mie mwenyewe wameiba vip nikutumieNitumie Imei namba zake niifunge kwa jina la Yesu!
Yeah.. Nitumie tu...oyo mie mwenyewe wameiba vip nikutumie