The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,798 Sep 11, 2021 #21 Nenda polisi. Watu pekee wanaweza kuikatamata simu ni polisi ila angalia cost benefit analysis, gharama ya kuitafta na kununua mpya hiyo tecno gharama ya kuitafta inaweza kua kubwa. Nunua mpya tu mkuu.
Nenda polisi. Watu pekee wanaweza kuikatamata simu ni polisi ila angalia cost benefit analysis, gharama ya kuitafta na kununua mpya hiyo tecno gharama ya kuitafta inaweza kua kubwa. Nunua mpya tu mkuu.