kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Mambo ya Kazi indeleeHao polisi hawajataka tu kufanya kazi, yaani una IMEI namba na kila kitu lakini wanakwambia ukimpata waje wamkamate,***** walai polisi.
Si ujifunze kuroga tu mbona Unataka complication sana.. polisi,kutrack,kukamata ukute nae kaiuza polisi utoe hela!.. hebu chonga na mizimu ikuletee simu yako..
Polisi wakutrack niliongea nae jana ila hata haeleweki alafu ujue siamini sana polisi maana anaweza kuitrack akaipata ikawa yake asikwambieHao polisi hawajataka tu kufanya kazi, yaani una IMEI namba na kila kitu lakini wanakwambia ukimpata waje wamkamate,***** walai polisi.
Police wa cyber watafanya kazi yako sema sasa lazima umpoozePolisi wakutrack niliongea nae jana ila hata haeleweki alafu ujue siamini sana polisi maana anaweza kuitrack akaipata ikawa yake asikwambie
Kuhusu malipo sio swala maana hata km saivi sina hela ila nikishaipata simu naweza kumuuzia yeye huyo aloiiba then tukagawana hela na polisi ila tatizo police kuna complication nyingi ndio maana nataka nifanye mwenyewePolice wa cyber watafanya kazi yako sema sasa lazima umpooze
Mwenyew huwez mkuu...unahitaj cyber wao ndo wana connection...kama huna hela ya kuwapa hao mamwela basi simu yako samehe tuKuhusu malipo sio swala maana hata km saivi sina hela ila nikishaipata simu naweza kumuuzia yeye huyo aloiiba then tukagawana hela na polisi ila tatizo police kuna complication nyingi ndio maana nataka nifanye mwenyewe
Wapo IT wanaweza hio kazi chief kumbuka hii ni technology watu wana hack mtandao mzima itakua kutrack simuMwenyew huwez mkuu...unahitaj cyber wao ndo wana connection...kama huna hela ya kuwapa hao mamwela basi simu yako samehe tu
Hawezi ipata kama tecno banah! Tecno zinakufa tofauti na samsungPolice wa cyber watafanya kazi yako sema sasa lazima umpooze
Haya mkuu kila lakher...unafkiri ku track simu kwa imei ni kama ku hack google account sioWapo IT wanaweza hio kazi chief kumbuka hii ni technology watu wana hack mtandao mzima itakua kutrack simuwasomi tunao mzee
Anaipata vizur tu...ilimradi imei awe nayo..shida ya Tecno..ni rahis kibadikishwa imei...na hapo ndo kipengele..kama imei wakichange ndio basi tenaHawezi ipata kama tecno banah! Tecno zinakufa tofauti na samsung
Kumbe unajua! Alafu unasema anaipata vizuri tu!Anaipata vizur tu...ilimradi imei awe nayo..shida ya Tecno..ni rahis kibadikishwa imei...na hapo ndo kipengele..kama imei wakichange ndio basi tena
Nimekupinga ulivyosema haipaiti bila kusema kwamba labda isibadilishwe imei.. imagine hawajachange imei..kwann isipatikaneKumbe unajua! Alafu unasema anaipata vizuri tu!