Nimeibiwa pesa kiuchawi nifanyaje?

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Hi,
Jamani pesa zangu zimepotea kwa mazingira ya kutatanisha nifanyaje naombeni msaada? Najua mshana Jr, Mzizi mkavu na wengineo wataalamu wa mambo haya mtanisaidia.
 
Nyoosha maelezo zimepoteaje mkuu.unaweza ukazingizia uchawi kumbe ni uzembe wako.

Ukawa umetapeliwa au zidiwa ujanja na matapeli au vibaka unazingizia uchawi.

Pole sana mkuu
 
Tafuta nyingine ndo mzunguko wa hela huo ndo mzunguko wa hela inatoka kwako inaenda kwa mwingine
 
Hivi mazingira ya kutatanisha ni yapi hayo?
 
mh! mm niliwahi kunyang'anywa 20alfu ndani. tena kwa nguvu na mtu simwoni. mpaka leo hazijarudi. ila hali ikiendelea usisite kuwaona wenye maarifa. onyo. wakiwa ni wale wenye mavazi ya shuka nyeupe na mekundu au meusi ujiepushe nao. isipokuwa tumia wale wanaotumia shuka nyeupe tu.
 
Wachawi hawaibi fedha hata siku moja.

Labda wewe umeliwa na Chuma Ulete.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hi!!
Jamani Pesa zangu zimepotea kwa mazingira ya kutatanisha nifanyaje naombeni msaada ? Najua mshana Jr,mzizi mkavu Na wengineo wataalamu Wa mambo Haya mtanisaidia
Na ww zirudishe kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…