okay.... nikiiona ntakutaarifu---wish u mafanikio utaipata
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.
Tangaza dau nikuletee fasta.
Mkuu umeshikwa umetoa na namba ya kilonga??je unapatikana wapi nikiipata??ofisi yako ikowapi??Jina kamili??ila nakushauri Wewe tafuta peas yakununu nyingine chukulia kama umeibiwa simu haziridi zikishachukuliwa mimi yakwangu niliibiwa hotelini Dodoma hadi waleo kimyaaaaa!!!