Habari wadau
Wiki iliyopita niliibiwa laptop yangu lakini nilisikia kuna namna au wataalamu wanaoweza kui-trace mara tu ikiunganishwa online, je nitawapata wapi hao wataalam hapa Dar?
Habari wadau
Wiki iliyopita niliibiwa laptop yangu lakini nilisikia kuna namna au wataalamu wanaoweza kui-trace mara tu ikiunganishwa online, je nitawapata wapi hao wataalam hapa Dar?
Mkuu,mwenzetu ameibiwa, na ana machungu ya kuibiwa.Acha utani katika mambo ambayo ni seriousMimi ndo nimeinunua saa hizi naitumia
Nenda kwa mganga..atarudisha mwenyewe..
Ingebidi uweke software ya tracking KABLA ya kuibiwa.
Hauwezi kutrace kwa IP kama baadhi wanavyodai, IP inatokana na network uliyokuwa connected na si na kompyuta hivyo akikonect kwengine anapata IP nyingine kutokana na hiyo network, hakuna uwezekano wa trace kwa IP.
NIC network interface card kila computer ya kisasa inayo hii kitu na ina address yake may be wanakosea kusema IP ila ku track NIC no. Ya comptuter ni very easy kama uliiweka kwenye tracking software...kuna tofauti ya IP ya internet na computer...