wana forum salam za mwaka mpya kwangu nimuuanza kwa kuibiwa
nimeibiwa ipad ilikuwa na information muhimu sana kwa yoyote atakaye fanikisha kuipata zawadi nono itatolewa . wizi umetokea jtano 15/1/2014 dar es salaam wakati inaibiwa ilikuwa na line ya voda na ilikuwa nasalio la kutosha
naamini wataalam wa mitandao watu wa usalama wapo
my no is 0754 479518 kwa ambaye yupo interested kunisaidia kazi njema.