Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,078
- 25,040
- Thread starter
- #81
mdogo wangu mshamba_hachekwi huyu demu huwezi kumpata omba hela tukale kitimoto ndizi roast😃Weka mambo sawa
mdogo wangu mshamba_hachekwi huyu demu huwezi kumpata omba hela tukale kitimoto ndizi roast😃Weka mambo sawa
na kitochi cha mbegemdogo wangu mshamba_hachekwi huyu demu huwezi kumpata omba hela tukale kitimoto ndizi roast😃
😃😃Weka mambo sawa
Ukimkoleza vizuri, mdada mwenyewe atakuwa anatoa hela 😀 😀mdogo wangu mshamba_hachekwi huyu demu huwezi kumpata omba hela tukale kitimoto ndizi roast😃
umeshaomba mechi kwa litutumbwe au unazubaa zubaa tu 😂
Unatakiwa ukolezwe, ili uwe unatoa hela bila usumbufu
😁😁😁 haya kazana , hamna vya burekutoa ni moyo sio utajiri😂
Hata hanijui anakuenjoy tuPalina umesema ni pisi ya kwenda
Acha kaka yako nimchunguze kwanza kama anafaa kuoa au la. Nipe mda kwanza ila nitatoka nae out mara kwa mara nimjue zaidi 😃
huu ni mtego😬😬 kimbia mshamba_hachekwi😁😁😁 haya kazana , hamna vya bure
tulivokubaliana kua friends ulisema utaoffer money sometimes😂😁😁😁 haya kazana , hamna vya bure
nakunyemelea 😂😅😅😅😅😂😂😂
Huyo ndio kipimo changu kwa IQ za wanawake wengi duniani!Angelina Jolie she is badass the beast and the beast. I just am crazy about her😃
Ha ha hahaha vipi sasa twende out this weekend beach moja imetulia tubonge kuhusu maisha😃