Duh! Pole sana Mkuu!
Mwenyewe wamenizingua!
Kudadadeki zao! Yaani nnahasira nao hadi basi! Leo saa tisa za usiku wameikunywa laptop yangu!
Wasiombee niwakute wameshikwa na raia, pahali popote, saa yoyote! Nadhani hasira zangu nitazimalizia hapo! pambaf sao hawa! Kama hawana kazi si wakapakatwe!!!