Ha ha ha haaa! Pole mkuu! Kweli some people judge a book by its cover. Kuna wajanja wameweka attractive avatars za videmu utaona wanachukiliwa very politely. Kumbe hawajui on the other end wanachati na njemba.Mwanzo kabisa nilikuwa natumia hii
View attachment 54982
Sasa nikagundua kila nachoandika watu wananishambulia na kunitukana bila hata sababu, nakwambia wakawa wanani-embarrass hadi wakanisababishia BAN! Nikafikiriii! Nikagundua hawa hawajaipenda sura yangu wanadhani mi zezeta. Nilivyobadili tu sijashambuliwa wala kutukanwa na mtu tena! Nikasema aaahaaaa!
Si ndo hapo? Ha ha ha haaaa!Ha ha ha haaa! Pole mkuu! Kweli some people judge a book by its cover. Kuna wajanja wameweka attractive avatars za videmu utaona wanachukiliwa very politely. Kumbe hawajui on the other end wanachati na njemba.
khe!mbona ilikuwa zuri sana,nimependa mwanya wako na uko so natural hujatumia mapouuuuuder
iko kitoto toto mnoooooo ivo mtu hata anajishtukia kukushambuliaHivi mi avatar yangu ikoje vile...
Hivi mi avatar yangu ikoje vile...
Ha ha ha haaaa! Mkuu usinipasue mbavu. Sasa kwetu mimi ndiyo hendisamu. Angalia hapa niko na ndugu zangu.Mkuu,
Kwa haraka-haraka nilidhani umeweka image ya goti !
Baadae nika'recognise ni sura!
Nna imani siku ikitokea unakamuliwa jipu, au unang'olewa jino na hii sura ikaleta image ya wound pain suffering itakua nzuri kupita hapo .
Tobaaaa!Ha ha ha haaaa! Mkuu usinipasue mbavu. Sasa kwetu mimi ndiyo hendisamu. Angalia hapa niko na ndugu zangu.
View attachment 55033
Kushoto kwangu ni kaka yangu na kulia kwangu ni ba' mdogo
Ha ha ha haaaa! Mkuu usinipasue mbavu. Sasa kwetu mimi ndiyo hendisamu. Angalia hapa niko na ndugu zangu.
View attachment 55033
Kushoto kwangu ni kaka yangu na kulia kwangu ni ba' mdogo