wana jf leo yamenikuta mwenzenu.
Jamani leo nimejikuta naharibiwa siku yangu na katibu tawala wilaya ya ...................... baada ya kurusha ndoana yake kwangu leo ofisi kwake. Loh nimekasirika sana.
nilikwenda huko baada ya kuwa nilihitajika kusainiwa barua zangu za job kama ujuavyo adha za waalim ukipandishwa cheo hadi uanze kupokea mshahara mpya ni ishu.
Jamani hivi ninyi wanaume mna nini? kwanini hamuheshimu hizo ofisi tena za umma? kwanini pia mnapenda kudhalilisha wanawake? au mnataka hadi tuekeane bifu kwa kuwaitieni takukuru?
Jitu lenyewe tumbo lipo kama anakunya humo humo mod nisamehe ni hasira tu. ila kaniboa sana. Na ukweli wanawake tunadhalilishwa sana.
Teamo sina maana hiyo kwani mimi ni mtu mwenye familia yangu, ila nimejikuta namchukia ghafla naenda na mambo yangu aniidhinishie kupandishiwa salary yeye ananitongoza au ndistaili ya wanaume?pole sana...!
inaonekana tumbo lake lingekuwa six pack ungempa nafasi
BADILI TABIA siku hizi wanaume wanatake advantage ya kuwa kwenye ofisi za serikali basi wao kazi ni hiyo tu. hakunaga kufanya kazi nyinginepole sana....
Mijanaume isiyojielewa na kujitambua..tena ile midomozege isiyokuwa na staha na wapungufu wa ustaarabu hudhani wakitumia shida ya mwanamke ndo watafanikiwa kumpata....
Pole sana
asrams yaani kamwe nisingeweza kumkubali hivi katika mazingira ya ofsi unategemea nini? au ndo anataka kuwapa wenzie kashfa za kwenye mitandao na magazeti ya udaku?Hahaha, Pole sana bibie ndo hali ya dunia ilivyo. Lakini nna swali la kizushi.
1.Je angekua hana kitambi kama anaku... humo humo ungesema???
2.Je ulikua unacheka cheka nini ndomana akaamua kurusha ndoana yake.
Usinielewe vibaya nauliza tu,
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Filipo haiko hivyo, hata kama tunapenda kutongzwa ndo unitongoze ofisini tena ofisi ya serikali? kaziutafanya saa ngapi?Wanawake bana! Wasipotongozwa wanaenda kwa wachina, isipowasaidia wanaenda kwa kalmanzila, wakitongozwa, wamedhalilishwa!? Kaaz kwel kwel!
Smart lady. Sasa nakupa mambo. Siku ukirudi kamsalimie halafu uwe friendly kabisa halafu muanzishe mawasiliano hadi uhakikishe mnapanga kwenda kula tunda. Huku nyuma wewe andaa takukuru na media. Maliza kazi.