maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Apr 1, 2014 #1 Wanajamvi habar gan.... Nimehamishiwa Mbeya kikazi na nimeshareport huku tayari.. Najua wanachit-chat mlioko Mbeya mtafurahi kuwaongezea team hii...ila nasubiri kukaribishwa rasmi
Wanajamvi habar gan.... Nimehamishiwa Mbeya kikazi na nimeshareport huku tayari.. Najua wanachit-chat mlioko Mbeya mtafurahi kuwaongezea team hii...ila nasubiri kukaribishwa rasmi
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Apr 1, 2014 #2 utakua mwalimu wa serikali wewe... maana ndo wanaripoti sasa. .Mponele fijo mwasomola