masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,897 Reaction score 15,125 Dec 28, 2016 #1 Hakuna umeme, hakuna maji ya bomba, hakuna gari wala daladala au boda boda. Mtandao kwa wasiwasi , na TV ndo hakuna kabisa. Nikitaka kwenda mjini sharti nivue nguo zote kwanza! Sina haja ya kuwakaribisha......Msinitafute!
Hakuna umeme, hakuna maji ya bomba, hakuna gari wala daladala au boda boda. Mtandao kwa wasiwasi , na TV ndo hakuna kabisa. Nikitaka kwenda mjini sharti nivue nguo zote kwanza! Sina haja ya kuwakaribisha......Msinitafute!
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,693 Reaction score 31,109 Dec 28, 2016 #2 Usiwe na hofu mkuu Maso, mie niko Zenji hapa nala urojo wa bahari!
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Dec 28, 2016 #3 Hapo zenji nimepapenda bure mkuu vipi shilingi ngapi uniuzie?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,050 Reaction score 61,375 Dec 28, 2016 #4 Hapo zenji ni ufukweni eeh? Me Nataka sehemu katikati ya maji